| |
Mjengo wake Usafiri wake Zay B aka Mwanadada gaidi ameibuka na kusema kuwa kimya chake kingi hakimaanishi kwamba amefulia kimuziki ila ni kutokana michongo inayomuingizia hela zaidi ya muziki wa bongo ambao bado haulipi. Mdada kwa sasa anamiliki Toyota Premio na yuko kwenye harakati za kumalizia mjengo wake pande za Buyuni, Pugu. Kama hiyo haitoshi, Zay B anasema kwa sasa yuko kwenye mkataba wa kufanya kazi za muziki na kampuni ya Butile Africa Group ya Afrika Kusini. Kuna lingine? |
Tuesday, January 19, 2010
zay b
Labels:
LOCAL NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment